Sunday, February 24, 2013

HII NDIO SAUTI YA JANGWANI

                                 Hawa ni baadhi ya waimbaji wa sauti ya jangwani iliyopo mkoani shinyanga
                  katika  kanisa la  USHIRIKA SDA CHURCH.

1 comment:

  1. Hii ni kwaya yangu ya moyo wangu tangu miaka ya nyuma 26 sasa.Nakumbuka nikicheza kanda yao ya kwanza -moto choma alituteza mno-Naona wakati umefika wakuwasiliano nao."Sitaionea haya injili ya Mungu" -kwa mkono wako" kambi'"

    ReplyDelete